October 8, 2021

 


BASI jipya la kisasa la Azam FC kwa sasa lipo Mbeya taratibu likiwa njiani kuibukia Dar es Salaam.

Ndinga hiyo mpya ambayo ni moja ya basi matata ni kwa ajili ya matumizi ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina kwa msimu mpya wa 2021/22.

Inaitwa Mercedes Benz Irizar i6S Plus itafanya ziara kwenye mikoa mbalimbali kwa mwendo wa taratibu ili mashabiki waweze kuiona ndinga hiyo mpya.



3 COMMENTS:

  1. watu wanataka mafanikio ya mataji sui magari qumanina nyie

    ReplyDelete
  2. Azam acheni siasa za mpira za nnje ya uwanja wekezeni nguvu kubwa ndani ya uwanja kwa kupambana kupata ubingwa wa ligi kuu tz bara pamoja na kufika mbali kwenye kombe la shirikisho ikiwezekana kuchukua ubingwa..
    Kutumia muda mwingi kulitangaza bus lenu ni jambo la kujidumaza kiakili na matumizi mabaya ya muda ni vitu vya kishamba kabisa.
    Team ina kila kitu lkn bado hampo tayari kuiletea club maendeleo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa Kama AZAM itachukua Kombe SIMBA itabaki Na nini ???

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic