October 8, 2021


BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu ya Twiga Stars amebainisha kuwa mchezo wao wa COSAFA dhidi ya Zambia walianza kwa hofu kubwa kipindi cha kwanza ila kipindi cha pili kulikuwa na mabadiliko.

 Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Nelson Mandela, Twiga Stars ilitinga hatua ya fainali kwa ushindi wa penalti 3-2 kwa kuwa dakika 90 ngoma ilikuwa 1-1. Baada ya ushindi huo wachezaji pamoja na benchi la ufundi ilikuwa ni full shangwe.

 

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic