VIDEO:ANTONIO NUGAZ MZEE WA WAPE SALAMU ANA NENO
MZEE wa wape Salamu,Antonio Nugaz amesema kuwa ni muhimu kushukuru kwa Mungu kwa kila jambo, Nugaz alikuwa Ofisa Uhamasishaji wa Yanga ambapo mkataba wake ulipomeguka mabosi wa timu hiyo waliweka bayana kwamba hawatamuongezea dili jipya.
0 COMMENTS:
Post a Comment