October 7, 2021

ATLAS Schools Marathon 2021 kutakuwa na zawadi kwa washindi mpaka wale watakaokamata nafasi za tano na kutakuwa na fursa ya kwenda kutembelea mbuga za wanyama kwa muda wa siku mbili.

 Zawadi kwa washindi wa kwanza itakuwa namna hii:-km 21 atapata laki tatu na hamsini, km 10 atapata laki mbili, km tano atapata laki moja ni mkwanja wa zawadi kwa washindi wa kwanza na wale wa pili nao pia watakunja mkwanja wao mpaka yule watatu pia.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic