October 11, 2021

MASHABIKI wa Yanga kutoka Ulaya ambao walikuwa Uwanja wa Mkapa Oktoba 10 wakati Yanga ikishinda bao 1-0 mbele ya JKU SC wamebainisha sababu za kuipenda timu hiyo, ni mmoja kutoka Denmark ambaye aliweka wazi kuwa anaipenda Yanga na mchezaji ambaye anamtambua ni Farid, (Mussa) huku kwa upande wa Simba ikiwa hakuna mchezaji ambaye anamtambua, mwingine alikuwa anatoka Marekani ambaye aliweka wazi kwamba anaipenda Yanga.

 

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic