October 5, 2021


TIMU ya Taifa ya Tanzania,'Taifa Stars' inayonolewa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen, jana Oktoba 4 ilianza rasmi mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia itakuwa ni dhidi ya Benin unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 7, Uwanja wa Mkapa.

 Mastaa walioitwa tayari wameripoti mazoezini na hapa ilikuwa namna walivyowasili Uwanja wa Mkapa ikiwa ni pamoja na Feisal Salum, Mzamiru Yassin, Aishi Manula, Idd Seleman,"Nado" ilikuwa ni Oktoba 4. 

 

2 COMMENTS:

  1. Sijaelewa nini mantiki ya kusema cheki fulani na fulani wakiingia, kwa nini asiseme tuu cheki wachezaji wa Taifa Stars wakiingia? Janja ya nyani nahisi.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic