January 30, 2014


Man City imetoa dozi ya mabao 5-1 kwa Tottenham katika mechi iliyomalizika hivi punde huku Chelsea nayo ikilazimishwa sare tasa dhidi ya West Ham United.


Ushindi huo unaifanya City irejee kileleni mwa Ligi Kuu England kwa pointi 53, ikiishuka Arsenal yenye 52 hadi katika nafasi ya pili wakati Chelsea inabaki katika nafasi ya tatu na pointi 50.


Mechi hizo mbili za Ligi Kuu England zilikuwa na mvuto mkubwa na ilionekana kama Spurs itaisumbua City lakini taratibu ilianza kuruhusu nyavu zake kutikiswa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic