July 10, 2014







Baada ya mizengwe kibao, hatimaye mshambuliaji nyota wa Borussia Dortimund, Robert Lewandowski ametua katika kikosi cha Bayern Munich.

Lewandowski, amesaini mkataba wa miaka mitano na mabingwa hao wa Ujerumani, klabu aliyokuwa na ndoto ya kuichezea lakini kukawa na mizengwe iliyotawala.
Mkali huyo amefunga mabao 74 na kusababisha 31 katika mechi zake 131 za Bundesliga akiwa na  Dortmund aliyojiunga nayo mwaka 2010 akitokea klabu ya Lech Poznan ya nchini kwake Poland.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic