Yacine Brahimi akiwa na tuzo yake ya BBC.
MSHINDI wa tuzo ya BBC ya mchezaji bora wa
mwaka 2014 Afrika imekwenda kwa mchezaji wa Algeria na nyota wa Porto, Yacine
Brahimi.
Hapajawahi
kutokea katika miaka 23 ya historia ya shindano hilo kwa mchezaji bora kutoka
Algeria kuishinda tuzo hiyo, lakini Brahimi amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo baada
ya mwaka uliokuwa na mbwembwe nyingi.
Brahimi
amewabwaga wachezaji wengine nyota wakiwemo, Pierre-Emerick Aubameyang wa
Gabon, Vincent Enyeama wa Nigeria, Gervinho wa Ivory Coast.
0 COMMENTS:
Post a Comment