NDOTO ZA TP MAZEMBE ZAZIMWA, YANGA KAZI IPO
BAADA ya MC Alger kupata ushindi dhidi ya TP Mazembe ubao uliposoma MC Alger 1-0…
Mshambuliaji wa kimataifa wa Congo DR na klabu ya Pyramids FC ya Misri Fiston Mayele, anashuka dimbani leo kusaka tiketi ya kuwania kufuzu hatua ya Robo Fainali akiwa ugenini dhidi ya klabu ya Sagrada Esperanca ya Angola. Pyramids atatinga rasmi katika robo fainali ya michuano hiyo kama atapata ushindi wowote na kufikisha alama 10 katika…
Ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana kuondoka na kitita cha zaidi ya Milioni Wikendi hii, kwani kuna mechi nyingi sana zenye machaguo zaidi ya 1000 ambazo zinapigwa leo. Unasubiri nini kutimiza ndoto zako leo? Jumamosi ya leo ligi kuu ya Italia SERIE A itandelea ambapo Atalanta BC atakuwa ugenini dhidi ya Udinese ambao wapo nafasi…
MASTAA wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids wanatarajiwa kuukosa mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravos, kutokana na sababu za kiufundi. Ikumbukwe kwamba katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa wa hatua ya makundi ulipowakutanisha Simba na Bravos, pointi tatu zilibaki Dar. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma…
BAADA ya MC Alger kupata ushindi dhidi ya TP Mazembe ubao uliposoma MC Alger 1-0 TP Mazembe, wamefikisha pointi 8. Bao pekee la MC Alger lilifungwa na Akram Bouras dakika ya 36 kwa mkwaju wa penalti iliyoleta utata ilidumu mpaka mwisho wa mchezo. Al Hilal nafasi ya kwanza pointi 10, MC Alger nafasi ya pili…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wakipata matokeo dhidi ya Bravos watakuwa wamejihakikisha nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Tayari kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kipo nchini Angola kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo wao dhidi ya Bravos amba…
ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa watafanya kazi kubwa kupata matokeo dhidi ya Al Hilal kutokana na ugumu uliopo kwenye hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Sead Ramovic tayari imeshatia timu nchini Mauritania kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Januri 12 2025….
Nafasi ya kuhakikisha unaifanya Januari yako inakua nzuri na sio kama wengine wanavyoilalamikia unayo leo kwa kufanya jambo moja tu!! Jambo lenyewe ni kuhakikisha unashiriki shindano la mabingwa la Expanse kupitia Meridianbet ambalo litakupa fursa ta kushinda kitita kinono. Meridianbet kwa mara nyingine tena wanakuletea shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa…
Leo tena mteja wa Meridianbet unayo nafasi ya kuondoka na mkwanja mrefu endapo utaweka dau lako dogo tuu na kubashiri mechi zako leo. Bayer Leverkusen, Lazio, na wengine kibao wapo dimbani baadae kukupa pesa. Ligi kuu ya Hispania LALIGA inatarajiwa kuendelea leo hii ambapo Rayo Vallecano baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii…
Winga Amad Diallo (22) raia wa Ivory Coast amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia Manchester United hadi Juni 2030. “Nimekuwa na nyakati za ajabu na Man United tayari, lakini kuna mengi zaidi yanayokuja. Nina malengo makubwa katika mchezo huu.” ——imesema Amad ‘Ivorian Messi’ kama wanavyomuita baada ya kusaini mkataba huo.
INATAJWA kuwa mabosi wa Singida Black Stars wapo kwenye vita ya kuwania saini ya kipa wa Simba Aishi Manula ambaye anatajwa kuwa kwenye rada za Azam FC pia. ipa huyo msimu wa 2024/25 hajacheza mchezo wowote ndani ya Ligi Kuu Bara na namba moja ni Mousa Camara ambaye amekaa langoni kwenye mechi zote 15 za…
SIMBA inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids imeweka wazi kuwa inakwenda kukutana na mpinzani mgumu ndani ya dakika 90 kutokana na mwendo wake wa kupata matokeo mazuri kwenye mechi za nyumbani ndani ya Kombe la Shirikisho Afrika. Wakiwa na kumbukumbu ya kupata matokeo chanya kwenye mchezo waliocheza nao Bravos, Uwanja wa Mkapa Novemba 24 2024…
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Abdihamid Moalin amesema kuwa wanatambua mchezo wao dhidi ya Al Hilal utakuwa ni mgumu lakini wapo tayari kwa ajili ya kusaka pointi tatu muhimu kutokana na umuhimu wa mchezo huo kwa Yanga. Ikiwa Yanga itapata pointi tatu kwenye mchezo huo itabakiwa na mchezo mmoja Uwanja wa Mkapa ambao huo utaamua hatima…
Kama ulikuwa unadhani umeona vingi au kufanya vingi, basi sahau kabisa bado kuna vingi sana huvijui na leo nakusogezea mchongo ambao huenda unaujua au huujui unahitaji kuufahamu, ni kutoka kasino ya mtandaoni. Kupitia kasino ya mtandaoni kuna sloti ya kupiga hela kirahisi sana, cheza kasino ya mtandaoni mchezo wa Dream Catcher unaokupa nafasi ya kutimiza…
Mechi za leo ni moto sana na zinaweza kukupatia ushindi mkali sana kuanzia pale Uingereza mpaka kule Saudia. Ingia kwenye akaunti yako na usuk ejamvi lako la ushindi hapa. Hispania kutakuwa na mchezo mmoja wa SUPER CUP kati ya Real Madrid vs RCD Mallorca ambao kwenye ligi wapo nafasi ya 6 huku Real wao wakiwa…
MSAFARA wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, Januari 9 2025 umekwea pipa kulekekea nchini Angola kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao ujao kimataifa dhidi ya Bravos unaotarajiwa kuchezwa Januari 12 2025. Wachezaji 22 wapo kwenye orodha ya mastaa wa Simba ambao watakuwa na kazi kwenye mchezo huo wa makundi, hiki…
WAKIWA kwenye maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa kimataifa dhidi ya Al Hilal unaotarajiwa kuchezwa Jumapili ya Januari 12 2025 nchini Mauritania Yanga kutoka Tanzania itawakosa wachezaji watatu kwenye uwanja kwa kuwa hawapo kwenye mpango wa benchi la ufundi. Ni Uwanja wa de la Capitale watashuka Yanga chini ya Kocha Mkuu, Sead Ramovic kusaka pointi…
MWENYEKITI wa Simba, Murtanza Mangungu amesema kuwa kwa sasa mpango mkubwa ni kupata matokeo kwenye mechi zijazo hivyo masuala ya kufikiria nani atapata nini kwa sasa iwekwe kando na badala yake nguvu iwe kwenye kupata ushindi. Ikumbukwe kwamba Simba ipo kwenye kundi ambalo lina ushindani mkubwa kwa timu tatu kuwa kwenye ubora katika mechi za…