MPIRA UMEKWISHAAAAA
DK 90+2
SUB Dk 86 Simba wanamtoa Ndemla anaingia Nd'aw
Dk 85, Kessy anaingia na mpira, anapiga krosi safi lakini kipa anaokoa vizuri
Dk 75 hadi 80 mpira unachezwa katikati zaidi kwa kila upande
GOOOOO Dk 73, Kiiza anafunga bao kwa shuti kali baada ya mabeki wa Mgambo kuzubaa kuondosha hatari
DK 90+2
SUB Dk 86 Simba wanamtoa Ndemla anaingia Nd'aw
Dk 85, Kessy anaingia na mpira, anapiga krosi safi lakini kipa anaokoa vizuri
Dk 75 hadi 80 mpira unachezwa katikati zaidi kwa kila upande
GOOOOO Dk 73, Kiiza anafunga bao kwa shuti kali baada ya mabeki wa Mgambo kuzubaa kuondosha hatari
Dk 72, krosi safi kabisa lakini Kiiza anapiga kichwa ‘mtoto’ na
kipa anaudaka
SUB DK 67 Mgosi anatoka na nafasi yake inachukuliwa na Ibrahim AjibDK 57 HADI 61, mpira unaonekana kuchezwa katikati zaidi lakini Mgambo wanaonekana kuwa vizuri zaidi
Dk 55, krosi nzuri ya Tshabalala inamkuta Majabvi lakini anaukosa mpira
Dk 51, Kiiza anapiga vizuri kabisa, mpira unagonga mtambaa wa panya na kurudi uwanjani
Dk 47, Kessy anapiga krosi safi lakini lakini Mgosi anakuwa mfupi na kushindwa kuuwahi
SUB Dk 46 Simba wanamtoa Kazimoto anaingia Kiiza
Dk 46, Mgambo wanafanikiwa kuutumbukiza mpira wavuni, lakini kabla aliyepiga alikuwa ameotea
MAPUMZIKO
DK 43-45 Mechi inaonekana kupoa na timu kucheza zaidi katikati ya uwanja
Dk 40, Simba wanaonekana kuimarika lakini mashabulizi yao mengi hayana macho.
Dk 32, Mgosi anaingia vizuri lakini Mwalyanzi anaangushwa. Faulo Simba wanapita kuipokea
GOOOOOO Dk 27 Majabvi anaifungia Simba bao safi baada ya kuunganisha krosi nzuri ya Tshabalala aliyepewa pasi fupi kutoka kwenye kona na Mwalyanzi.
Dk 26 Simba wanafanya shambulizi kali, Kessy anapiga shuti linaokolewa, Mgosi naye anapiga shuti kali linaokolewa pia na kuwa kona
Dk 25, Mgosi anageuka nje ya eneo la 18 na kupiga shuti la chini lakini linaokolewa na kipa
Dk 23, Simba wanapasiana vizuri, Majabvi anajaribu kupiga shuti lakini linakuwa kuuuubwaaa kama mnazi!
Dk 19 Maganga tena anapiga shuti kali lakini Manyika anaokoa
Dk 17, Salim Gilla anapiga shuti kali kwa mpira wa faulo lakini Manyika anaudaka vizuri kabisa
Dk 15, pasi nzuri ya Mgosi, Kazimoto anapiga shuti kali lakini kipa anadaka kwa ulaini kabisa
Dk 9 Maganga anaingia vizuri lakini kabla ya kupata nafasi nzuri ya kupiga shuti, Tshabalala anaondoa hatari
Dk 6, Mgosi anapiga shuti la chini linagonga mwamba na kurudi uwanjani. Mgosi alipata pasi nzuri kutoka kwa Mwalyanzi.
Dk 5, Simba wanafanya shambulizi jingine, krosi safi ya Ndemla inamfikia Mgosi lakini mwamuzi anasema ameotea.
Dk 3 Tshabalala anachonga kona nyingine lakini Mgambo wanaokoa tena.
Dk 2, Ndemla anaingiza krosi safi lakini inaokolewa na kuwa
kona. Tshabalala anachonga kona safi inaokolewa na kuwa kona ya pili.
0 COMMENTS:
Post a Comment