July 23, 2016



Kocha wa zamani wa Everton na Man United, David Moyes amepata kazi mpya.

Moyes amesaini kuanza kazi ya kuifundisha Sunderland inayoshiriki Ligi Kuu England.

Kocha huyo maarufu kama Daudi, anachukua nafasi ya Sam Allardyce maarufu kama Big Sam ambaye ametangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa England. 

TAKWIMU ZAKE AKIWA MAN UNITED:
Alicheza: 51
Alishinda: 27
Sare: 9
Alipoteza: 19
Asilimia ya ushindi: 52.94 


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic