Pamoja na wachama kutangaza kumng’a uenyekiti wa Simba, Ismail
Aden Rage, akiwa India yeye amesema wamefanya kikao cha Harusi.
Rage Mtanzania mwenye asili ya Somalia, amesema walichofanya
hakikuwa sahihi na ndiyo maana mambo yao walifanyia uchochoroni na si klabuni.
Ameahidi atakaporejea nchini kutoka India anakotibiwa,
atawashughulikia mara moja.
Picha zinaonyesha namna wanachama hao walivyoshiriki katika
mkutano uliofanyika jana kwenye ukumbi wa Starlight jijini Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment