Kikosi cha Simba leo kilifanya mazoezi kwenye Viwanja vya Leaders
jijini Dar es Salaam chini ya Kocha Patrick Liewig akiwa na wasaidizi wake, Jamhuri Kihwelo 'Julio', James Kisaka na Meneja, Moses Basena...pia Katibu Mkuu, Evodius Mtawala alihudhuria.
Kikosi hicho, kilijaza zaidi wachezaji chipukizi huku asilimia
kubwa ya wakongwe wakiwa hawapo mazoezini na sababu lukuki zikitolewa. Endelea na
picha.
0 COMMENTS:
Post a Comment