Mechi inaendelea mjini Monrovia, wenyeji wamepata bao la
kuongoza katika dakika ya 44.
Kwa sasa timu ziko mapumziko na wenyeji wanashangilia kwa
nguvu ili timu yao iendelee kufanya vizuri.
Msemaji wa Azam FC, Jaffar Idd Maganga amesema bado ana
imani wanaweza kurejesha bao hilo.
KIPINDI CHA PILI KIMEANZA
Azam wanapata bao la pili katika dakika ya 90, mfungaji Serif Abdallah Karihe....
Kipindi cha pili kimeanza, Azam FC wamefanikiwa kusawazisha kupitia kwa Humprey Mieno...hadi sasa Barrack 1 na Azam 1.
SASA NI MAPUMZIKO....
0 COMMENTS:
Post a Comment