Vituko haviishi kwa Mario Balotelli wa AC Milan,
safari hii amemgeukia Jose Mourinho na kikosi chake cha Real Madrid.
Balotelli amemuambia Mourinho na Madrid kama
watafanikiwa kushinda mechi ya leo usiku dhidi ya Borussia Dortmund na kusonga
mbele hadi fainali, yeye atawapa ofa wavijinjali na kulala na mpenzi wake
aitwaye Fanny Naguesha.
Baloetelli pamoja na kumpenda sana Fanny ambaye ni
mwanamitindo raia wa Ubeligiji, amesema hata kama katika soka kuna miujiza,
yeye atawapa ofa hiyo Madrid.
Balotelli anasema kipigo cha mabao 4-1 walichopata
Madrid mjini Dortmund ni sawa na kusema mechi yao ni ya kulinda heshima kwa
Madrid na kujifurahisha kwa Dortmund.
“Kama Madrid wakishinda na kusonga mbele, nitawapa
ofa ya kulala na mpenzi wangu,” aliliambia jarida la Marca la Hispania.
Wengi wnaataka kuona Madrid watafanya kipi kuvuka
dhidi ya wakali hao wa Ujerumani ambao waliwatoa shoo katika mechi ya kwanza.
0 COMMENTS:
Post a Comment