April 6, 2013




Saleh Ally na Michuzi mdogo kabla ya mechi..
 Waandishi wanaimiliki timu blog mbalimbali, wameanzisha timu yao ya soka na leo imeanza vizuri kwa kushinda mechi mbili na kupoteza moja.
Katika michuano iliyopigwa kwenye Bonanza la Media Day leo kwenye Viwanja vya Leaders, waandishi hao ‘Mablogga’, walionyesha ujuzi katika mechi zote walizocheza.


Walianza kwa kupata ushindi wa chee baada ya Star TV kuingia mitini, wakapoteza mechi ya pili kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Radio Maria iliyojaza mamluki wa kutosha.




Saleh Ally chini ya ulinzi, kazi imeanza..

Lakini iliporudi uwanjani, ikawatoa jasho DSJ, timu iliyokuwa imejaza vijana lukuki ambao walionekana kama wanachezaki Ligi Daraja la Kwanza Bara, lakini wakalala kwa mikwaju ya penalti.
 


Saleh Ally kwishney..

..
Kwa mujibu wa wadau wa timu hiyo, kama Issamichuzi, majjidmjengwa, salehjembe, michuzijunior, binzubeiry, fatherkidevu, balilemajuto, michuzijr,sufianimafoto na wengine, wamechukua uamuzi wa kuendeleza  mazoezi kama kawa.

Angalia baadhi ya picha za action, MABLOGGA walivyokuwa kazini...

Father Kidevu na Michuzi mdogo..

Penalti ya Bin Zubeiry inagonga mwamba ...


Michuzi mdogo kazini...

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic