Wachezaji
wa Man United walikuwa wakijiandaa katika stesheni na Manchester kwa ajiliya
safari kwenda London kuivaa West Ham United katika mechi ya Ligi Kuu England,
kesho.
Pamoja
wachezaji wote kufika mapema, Wayne Rooney alichelewa na baadaye alifika hapo
akiwa amepata lifti my wife wake, Coleen.
Lakini
kabla ya kuachana, walianza kupigana mabusu ambayo kwa kiasi fulani
yalimshangaza kiungo wa timu hiyo, Michael Carrick.
Carrick
alishindwa kujizuia na kumsuburi Rooney amalizane na shemeji na baada ya hapo
akaanza kujadili na Rooney.
Haijulikani
walijadili kitu gani, lakini walitumia muda wote kuzungumza na kucheka huku
Carrick akionyesha kujadili kuhusiana na mabusu yalivyokuwa.
Man
United inalazimika kushinda mechi ya kesho ili kujiweka sawa na kujihakikishia
njia ya ubingwa.












0 COMMENTS:
Post a Comment