YANGA HII ILIKUWA BALAA..UNAWAKUMBUKA HAWA JAMAA? Hii ilikuwa ni katika miaka ya 1980 mwishoni kwenda 1990. Moja ya vikosi bora vya Young African ni hiki hapa, baadhi kuna majina yao, kuna baadhi wachache ambao mimi nawafahamu. Unaweza kujaza, ukishindwa nitakusaidia..
0 COMMENTS:
Post a Comment