May 9, 2013



 
Chelsea ikiwa nyumbani imelazimishwa sare ya mabao 2-2 na wageni wake Tottenham Hotspurs

Mchezo huo ulioonekana ungetoa dira ya nani atashika nafasi ya tatu, umezidisha ugumu kwa kuwa Chelsea wamefikisha pointi 69 wakiwa nafasi ya tatu, wanafuatiwa na Arsenal wenye 67 na Spurs nafasi ya tano wakiwa na 67.



Mechi ilikuwa ngumu nay a kuvutia huku mshambuliaji wa Spurs, Emmanuel Adebayor raia wa Togo aking’ara kwa kufunga bao moja kutoa pasi ya bao la pili.



Tayari bingwa ameishajulikana, lakini mshindi wa pili ni Man City, hivyo kuifanya nafasi ya tatu kuwa ngumu zaidi na inayogombewa na timu tatu ambazo ni Chelsea, Spurs na Arsenal.
 

MABAO YA CHELSEA:
Oscar 11, Ramires 39.
MABAO YA SPURS:
Adebayor 26, Sigurdsson 80.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic