Hatimaye kila kitu kimekuwa hewani sasa kwamba
Barcelona imemsajili Neymar kwa dili la miaka mitano.
Mbrazil huyo ameonekana katika picha akiwa ameweka
begani jezi ya Barcelona, kuonyesha baada ya siku chache atakua Cam Nou.
Taarifa zinaeleza kuwa kesho Jumatatu, kila kitu
kitakamilika ikiwa ni pamoja na suala la utambulishi.
Baada ya hapo, Neymar atazungumza na waandishi wa
habari kuhusiana na uamuzi wake wa ghafla kuamua kuhamia Hispania.
0 COMMENTS:
Post a Comment