May 5, 2013







FULL TIME.
Dk 90+1, ruvu wanasukuma mashambulizi mfululizo, lakini dhaira anakuwa makini kuokoa.
GOOOOOO…Dk 89, mkoko anaifungia simba bao la tatu kwa kichwa baada ya kuunganisha krosi nzuri ya kiemba.
Dk 87, simba wanarudi tena langoni mwa ruvu na kuendelea kushambulia.


GOOOOOO…Dk 86 Edo anaipatia simba bao la pili kwa shuti kali baada ya kutokea piga nikupige kwenye lango la ruvu.
Dk 84, simba wanaonekana kubadilika kutokana na kucheza pasi za haraka haraka na kuwasumbua ruvu.




Dk 83 ruvu wanafanya shambulizi kali na krosi safi ya mfaume inamkuta dilunga lakini shuti lake linapaa.
Dk 80 simba wanamtoa chanongo anaingia ismail mkoko
Dk 78 ruvu wanamtoa madega anaingia hamis kisuke
Dk 72 benjamin haule mchezo unasimama kwa dakika 3 wakati kipa haule akitibiwa.


Dk 69 anatoka singano ‘messi’ anaingia chirstopher edward
 Dk 63 mfaume anashindwa kulenga lango akiwa katika nafasi nzuri baada ya ruvu kugongeana vizuri.


Dk 56 ruvu wanalisakama zaidi lango la simba wakionena kuwa wamebadilika zaidi kwa kucheza pasi fupifupi na za haraka.
Dk 54 ruvu wanamtoa keyala anaingia ayoub kitala.
Dk 53, ruvu wanamtoa dilunga anaingia kulwa mfaume.
GOOOOOO Dk  52, ruvu wanapata bao la kusawazisha kupitia kwa abdurahman aliyemchambua dhaira ikiwa ni baada ya kuunasa mpira aliokuwa nao kapombe baada ya kuzubaa nao kwa sekunde kadhaa.


Kipindi cha pili kimeanza, simba wanamtoa sunzu anaingia mrisho ngassa


HALF TIME:

Dk 45, shuti kali la abdulhaman linapanguliwa kiustad na dhaira na kuinyima bao ruvu shooting.
  Dk 34, sunzu anatoa pasi saafi ya kisigono kwa chanongo, lakini shuti lake linaokolewa na kipa Benjamin haule.

Dk 21, nusura simba ipate bao baada ya kichwa alichopiga sunzu kugonga mwamba na kurudi uwanjani. Ilikuwa ni baada ya kupokea krosi ya chanongo.
Dk 19, Pius anapoteza nafasi nzuri ya kufunga kwa ruvu baada ya kushindwa kuiwahi krosi nzuri ya said dilunga.
GOOOOOO dk 14, kiemba anaifungia simba hao zuri kwa shuti kali nje ya 18 baada ya pasi safi ya sunzu.
Dk 12, timu zote zinacheza zaidi katika ya uwanja
Dk 8, simba wanapoteza nafasi ya kufunga kupitia kwa kiemba.
Simba:
Dhaira, chollo,shamte,kapombe,mudde,William Lucian,chanongo, seseme,sunzu,kiemba na singano ‘messi’.


Ruvu shooting:

Benjamin haule, Michael pius, braaka nyakamande,nyambiso athumani,shaban suzan,ernest ernest,Hassan dilunga,abdulahman mussa,said dilunga,Raphael keyala.
 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic