Barcelona imekubali kumwaga euro milioni 50
kusajili mshambuliaji Neymar wa Santos ya Brazil.
Neymar anatarajia kutangazwa leo Jumapili kama
mchezaji mpya wa Barcelona na atakuwa akichoka euro milioni saba kila mwaka kwa
miaka mitano ya mkataba wake.
Maana yake, Barcelona itakuwa inawatumia Neymar na
Lionel Messi msimu ujao na kukifanya kikosi hicho kuwa bora zaidi.
Jana asubuhi, Neymar aliwaaga wachezaji wenzake wa
Santos baada ya kufanya nao mazoezi ya mwisho kabla ya kuanza kazi yake mpya
akiwa na Barcelona.
KARIBU ULAYA
ReplyDelete