Kampuni ya ysambazaji wa filamu ya
Steps Entertainment ya jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita ilitoa
tuzo kwa wasanii bora waliofanya vizuri katika tasnia ya filamu nchini kwa
mwaka 2012 ikiwa ni kwa mara ya kwanza kuanzishwa kwa tuzo hizo
Akizungumzia tuzo hizo Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Direshi Solanki amesema kuwa tuzo hizo watakuwa wakizitoa kila mwaka kwa kuleta maendeleo ya filamu nchini kampuni hiyo iliyojikita katika kusambaza filamu za wasanii wameweka historia ya kuigwa kutokana na kuanzisha tuzo hizo
Baadhi ya washindi ambao walipatikana katika tuzo hizo wa kwanza ni Steven Mangendela 'Steve Nyerere', Issa Mussa 'Cloud 112', Mohamed Nurdini 'Chek Budi', Nice Mohamed 'Mtunisi', Irene Paul akinyakuwa msanii bora chipkizi wa kike
Wakati katika kinyanganyiro cha kumpata msanii bora wa kiume alinyakuwa Jacob Steven 'JB' huku msanii bora wa kike ikienda kwa Irene Uwoya
na msanii bora wa filamu za mapingano ilikwenda moja kwa moja kwa Jimmy Mponda 'Jimmy Masta'
Wakati katika kipengere cha muongozaji bora wa filamu kilikwenda kwa vicent Kigosi' Ray' na kampuni yake ya RJ Filamu
aidha, zilitolewa tuzo za heshima kwa wasanii waliofanya vizuri lakini kwa sasa hawapo duniani moja ni kwa Steven Kanumba, Saidi Kilowoko 'Sajuki', John Stefano, Hussein Ramadhani Mkiety 'Sharo Milionea'.
PICHA NA RAJAB MHAMILA AU SUPER D

0 COMMENTS:
Post a Comment