June 25, 2013



 
Redio inayomilikiwa na klabu ya Napoli ya Radio Marte imetangaza kwamba dalili zote zinaonyesha mshambuliaji Edinson Cavani atatua Chelsea.

Imeelezwa kwa fedha hizo, ni sawa na Cavani raia wa Uruguay ametua Chelsea ambayo likuwa ikipambana kumpata.



Redio hiyo imeeleza kwamba hadi leo asubuhi, Chelsea ilikuwa imekubali kutoa kitita cha pauni milioni 49.3.

Fedha hizo ni nyingi zaidi kuliko ofa ya Manchester United na jirani zao Man City.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic