Mabingwa wa England, Manchester United wamepokea kipigo cha mabao 3-2 katika mechi ya kirafiki iliyopigwa mjini Yokohama.
United wamepokea kipigo hicho kutoka kwa wenyeji Yohokama ambao walianza kupata bao katika dakika ya kwanza kupitia kwa Marquinhos.
Man United ilifanikiwa kusawasisha na kuongeza bao la pili kupitia kwa Lingard na Tashiro aliyejifunga.
Lakini Fujita ndiye aliyezima ndoto za Man United kuibuka na ushindi baada ya kufunga bao la tatu kwa shuti la mbali lililomshinda David De Gea.
MANCHESTER UNITED: De Gea; Fabio, Jones, Evans (Smalling), Evra; Anderson, Cleverley, Zaha (Giggs); Lingard (Ashley Young), Januzaj (Kagawa); Van Persie (Welbeck)
Mabao: Lingard 19, Tashiro (OG) 31
Kadi: Cleverley
YOKOHAMA: Enomoto, Dutra, Aguiar, Tashiro, Kobayahsi, Nakamura, Hyodo, Tomisawa, Nakamachi, Marquinhos, Sato.
Mabao: Marquinhos 1, Fabio 50, Fujita 88
0 COMMENTS:
Post a Comment