July 31, 2013



 
GOMA LINAAMKA...


GOMA HEWANI...



Nilikuwa nimekaa na washikaji hapa katika eneo la Hausen nchini Ujerumani, kawaida tunafanya mazoezi na wengine wanafika hadi Ufaransa kwa baiskeli.

Hapa tulipo ni takribani saa mbili na ushee hadi Ufaransa hadi kwa baiskeli, kitu ambacho watu wanafanya kama sehemu ya mazoezi.
 
GOMA LINATUA...


...LINATAFUTA PA KUPAKI...WATU MAKOFI..PA..PA..PA

Lakini pamoja na hayo, nikawaambia mimi ni mshiriki wa michezo mingi kama riadha, tenisi, mbio za baiskeli au kutoa shoo kwa baiskeli, si soka tu kama wanavyojua.

Basi hapo tukaanza kuonyeshana ujuzi,wenzangu wengi wana maumbo madogo kwa kuwa ni watu wa mazoezi zaidi, lakini usiangalie uraia kwamba wametokea Ujerumani, Italia, Ufaransa au Tanzania. Hakuna aliyeweza kufanya kama unachokiona katika picha.
Hahaha……

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic