October 8, 2013


SIWA (KULIA) AKIWA MENEJA HAFIDHI SALEH NA KOCHA MSAIDIZI FRED FELIX MINZIRO.

Kocha wa makipa wa Yanga, Razak Siwa amelazimika kuachana na kikosi hicho ghafla kutokana na ugonjwa wa baba yake mzazi.


Siwa amelazimika kusafiri hadi kwao Mombasa, Kenya ili kumuuguza baba yake inayeelezwa amefanyiwa upasuaji.

“Kweli nimeomba ruhusa, hali ya baba yangu haikuwa nzuri kidogo. Ila sasa anaendelea vizuri,” alisema Siwa.

Anatarajia kurejea nchini leo na kuungana na kikosi hicho kwa ajili ya safari ya kwenda mkoani Kagera kuwavaa Kagera Sugar.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic