October 10, 2013





Gari aina ya Lamborghini Sports linalomilikiwa na Makamu Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Davis Mosha, limegeuka burudani kubwa jijini Dar.


Gari hilo huenda ndilo linaloongoza kwa kupigwa picha kuliko lingine lolote jijini Dar es Salaam.

Mara nyingi Mosha amekuwa akipenda kuliegesha karibu kabisa na milango ya kuingilia VIP na wengi hujimwaga kulipiga picha au kulishangaa.



Thamani ya gari hilo aina ya Lamborghini Sports ni zaidi ya Sh milioni 120.

Kila linapopita, mashabiki wamekuwa wakitoa simu zao za mkononi na kupiga picha haraka.
Lakini limekuwa kivutio zaidi kuliko magari mengine yote ya jijini Dar es Salaam.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic