Afrika Kusini imepoza maumivu kiana ya kukosa
kushiriki Kombe la Dunia baada ya kuwafunga mabingwa wa kombe kwa bao 1-0.
Bernard Paker ndiye aliyefunga bao pekee la
mchezo.
Mechi hiyo kwenye Uwanja wa Soccer City jijini
Johannesburg ilikuwa kali na ya kuvutia.
Lakini mwisho wenyeji walionyesha wanaweza na
kuibuka na ushindi wa bao hilo moja.
0 COMMENTS:
Post a Comment