November 1, 2013


Mshambuliaji wa Atletico Madrid, Diego Costa amempiku Cristiano Ronaldo na kupaa katika listi ya wafungaji bora wa La Liga.


Costa amefikisha mabao 12 wakati Ronaldo ana 11 baada ya kufunga matatu wakati Real Madrid ilipoichabanga Sevilla mabao 7-3.

Costa amefikisha mabao 12 baada ya kufunga mkwaju wa penalty wakati Atletico Madrid ilipoitwanga Granada kwa mabao 2-1, bao moja likiwa limefungwa na David Villa.


1
11
11
3
8
4
7
5
6

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic