November 6, 2013

HII INAPATIKANA KWENYE MTANI JEMBE TU!
Wakazi wa Manispaa ya Shinyanga na viunga vyake wakisakata
      rumba ktk baa ya RY Misanga ktk kampeni za NANI MTANI JEMBE
         kupitia bia ya Kilimanjaro jana tar 5/11/13.
WASANII KUTOKA MWANZA WAKIONYESHA MAKALI YAO KATIKA MTANI JEMBE NDANI YA SHINYANGA
SHABIKI WA SIMBA AKIKABIDHIWA JEZI BAADA YA KUIBUKA NA USHINDI.
MAMBO YA MTANI JEMBE HAYO
SHABIKI WA YANGA AKIONYESHA MAKALI YAKE KWA KUCHEZA NA CHUPA YA BIA YA KILIMANJARO KICHWANI. DUH!

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic