November 23, 2013


Kipa Manyika Peter sasa anaendelea kutesa katika klabu ya Seeb ya Oman.

Manyika ameajiliwa kama mmoja wa makocha wa makipa katika klabu hiyo nchini Oman.

Akizungumza kutoka Muscat, Oman, Manyika amesema mazingira ya kazi nchini humo ni mazuri hasa katika suala la vifaa na utendaji kazi kwa ujumla.

“Huku kuna tofauti kubwa na nyumbani na hata soka lao lina ushindani mkubwa ukilinganisha na nyumbani.
“Mambo yako vizuri na tunaendelea kupambana kwa ajili ya mafanikio,” alisema Manyika.

Kipa huyo mkongwe amewahi kudakia Yanga kwa mafanikio makubwa, pia timu ya taifa Taifa Stars.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic