November 23, 2013


Mwenyekiti wa Simba aliyesimamishwa kuendelea na kazi, Ismail Aden Rage ameamua kuahirisha mkutano aliokuwa afanye leo saa saba mchana.


Rage amesema ameahirisha kupisha mkutano mwingine wa waandishi na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

TFF inatarajia kutangaza kamati zake mpya ambazo zilivunjwa baada ya uongozi wa Jamal Malinzi kuchukua hatamu kutoka kwa ule wa Leodeger Tenga.

Rage aliahidi kubwa ugali kwa madai wajumbe wa kamati ya utendaji waliomsimamisha hawakufuata taratibu.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic