November 21, 2013





Mahakama kuu imewahukumu tena Nguza Viking na mwanaye Johnson Papii ‘Kocha’ kwenda gerezani maisha.
 
Wawili hao walikuwa wamekata rufaa na leo ilikuwa ni hukumu yao lakini mambo yalikwenda tofauti.

Awali ilionekana kama leo ilikuwa siku nzuri na wengi walitarajia wanamuziki hao maarufu ilikuwa ndiyo siku yao ya kutoka.



Lakini mambo yalikwenda tofauti na kuhukumiwa tena kifungo cha maisha gerezani hali iliyosababisha watu wengi waliokuwa wamefika eneo hilo kuangua kilio.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic