December 24, 2013

PAZI (KUSHOTO) AKIBAKI AMESHANGAA BAADA YA KASEJA KUMPA JEZI YAKE, HALAFU YEYE HAKUTAKA KUCHUKUA YAKE NA BADALA YAKE AKASALIMIANA NA KIEMBA NA CHOMBO NA KUONDOKA ZAKE.



Huku ikionekana ni hofu baada ya kufanya kosa lililozaa bao la tatu la Simba, kipa wa Yanga, Juma Kaseja, alikataa kuipokea jezi ya Zahoro Pazi wa Simba mara baada ya mechi ya Nani Mtani Jembe.
 
Katika mechi hiyo iliyochezwa Jumamosi na Yanga kulala kwa mabao 3-1. Kaseja alikataa kuchukua jezi ya Simba.
HAPA WAKATI AKIVUA JEZI NA KUMPA PAZI..

Huenda alihofia kuonekana ameishika na mara baada ya kubadilishana na Zahoro Pazi, yeye alimpa yake lakini akakataa kuchukua ya Simba na kuondoka zake.
Daktari mkongwe, Shecky Mgazija alionekana kumpoza kwamba alichofanya ni kosa la kimichezo lakini Kaseja alionekana kama ni mtu aliyechanganyikiwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic