December 27, 2013

 
NKOMA
Siku chache baada ya kutimuliwa kazi, aliyekuwa Kocha wa Rhino Rangers Sebastian Nkoma, ameibuka katika fani ya ualimu wa shule ambapo sasa anafundisha masomo ya ziada ‘twisheni’ katika shule za sekondari.


 Nkoma alisema ualimu ni moja taaluma alizonazo, hivyo kujiweka kando na soka ndiyo njia ya kuendeleza taaluma nyingine, ambapo kwa sasa ni mwalimu katika shule za sekondari za Aga Khan na Benjamini Mkapa za Dar es Salaam.

“Maisha siyo soka tu, mimi ni mwalimu pia. Hii ndiyo taaluma yangu na kwa sasa ndiyo kazi ninayoifanya. Ninafundisha shule mbalimbali kuna Aga Khan, Benjamini Mkapa pote nina vipindi,” alisema kocha huyo.
SOURCE: CHAMPIONI

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic