January 15, 2014



Mabingwa wa soka Tanzania, Yanga wamemkaribisha kocha wao mpya kwa ushindi wa mabao 2-0 katika mechi ya kirafiki dhidi ya Altay SK leo.


Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye Viwanja vya hoteli ya Sueno Beach Side, mabao yote ya Yanga yalifungwa kipindi cha pili.

Huku Kocha Hans Van Der Pluijm akishuhudia, Didier Kavumbagu alikuwa wa kwanza kuandika bao kabla ya Emmanuel Okwi kufunga la pili katika dakika ya 57.
KIKOSI CHA YANGA KILICHOANZA LEO

Timu hiyo ua daraja la pili nchini Uturuki ilionyesha ushindani zaidi ingawa Yanga walikuwa na kazi kupita wao tokea kuanza kwa kipindi hicho.

Hiyo ni mechi ya pili mfululizo ya kirafiki, Yanga inabuka na ushindi baada ya kushinda mechi ya kwanza kwa mabao 3-1.


 KIKOSI CHA LEO:
1. Ally Mustafa "Barthez"
2. Juma Abdul

3. Oscar Joshua 
4. Mbuyu Twite
5. Kelvin Yondani
6. Frank Domayo
7. Haruna Niyonzima
8. Hassan Dilunga
9. Didier Kavumbagu
10. Mrisho Ngasa
11. Emmanuel Okwi

Subs:
1. Juma Kaseja
2. David Luhende
3. Ibrahim Job
4. Nizar Khalfan 
5. Hamis Kizza
6. Jerson Tegete
7. Saimon Msuva

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic