ANGALIA SIMBA ILIVYOTIFUANA NA MTIBWA SUGAR LEO MJINI MOROGORO MESSI KAZINI LEO MOROGORO TAMBWE AKIPONGEZWA NA MESSI BAADA YA KUISAWAZISHIA SIMBA KATIKA MECHI HIYO ILIYOISHA KWA SARE YA 1-1. MKUU WA MKOA WA MORO, JOEL BENDERA AKISALIMIANA NA IVO MAPUNDA KABLA YA KUANZA KWA MECHI HIYO. KULIA NI MAKAMU WA RAIS TFF, WALLACE KARIA.
0 COMMENTS:
Post a Comment