ARSENAL YAIPIGA CRYSTAL PALACE, YARUDI KILELENI ENGLAND Arsenal imerejea kileleni mwa Ligi Kuu England kwa kuichapa Crystal Palace kwa mabao 2-0. Mabao ya Arsenal yamefungwa na kinda Oxlade-Chamberlain na kuipa jumla ya pointi 55. Angalia picha za action za mechi hiyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment