ANGALIA PICHA HIZI MBILI ZINAZOONYESHA UHUNI NA UNDAVA WA EL CLASICO PEPE ALIGONGANA NA FABREGAS, AKAGEUNA NA KUMKABA, AKAMPIGA KICHWA CHA KISHKAJI, WOTE WAKAANGUKA NA KILA MTU AKAZUKA KAUMIA WAKATI WANAKWENDA KUAMUA, BUESQUETS AKAZUGA HAJAONA, NAYE AKAMPANDA PEPE KICHWANI....ALUU, HATARI
0 COMMENTS:
Post a Comment