March 31, 2014


England wameanika jezi yao mpya itakayotumika kwenye Kombe la Dunia nchini Brazil.

Jezi hiyo itakuwa inauzwa pauni 90 (Sh 225,000), hali ambayo imewafaya Waingereza kibao kulalama.
Waingereza wanalalama kwamba kampuni ya Nike imewatoza kiwango kikubwa cha fedha kununua jezi hiyo.
Wengi wametaka ufanyike utaratibu haraka na bei ya jezi hiyo ipunguzwe.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic