March 31, 2014


Kocha David Moyes amesema kikosi chake lazima kiwe katika kiwango cha juu kuifunga Bayern Munich, kesho.

United wanawavaa mabingwa hao wa Ulaya katika mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, wao wakiwa nyumbani.
Moyes amesisitiza ni lazima wacheze katika kiwango cha juu ndiyo wataweza kuwashinda mabingwa hao ambao ndiyo timu tishio zaidi.
Moja ya mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya inayosubiriwa kwa hamu ni kati ya timu hizo mbili huku wengi wakiwapa nafasi mabingwa hao kutoka Ujerumani.
Man United wamekuwa wakiendelea na mazoezi kama kawaida kuhakikisha wanafanya vizuri katika mechi hiyo.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic