March 27, 2014





Real Madrid imejiongea ugumu kwenye kutwaa ubingwa wa La Liga.

Imekutana na kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Sevila jana usiku wakati wapinzani wao Barcelona wakiwa wameshinda kwa mabao 3-0 dhidi ya Cleta Vigo.
Madrid walishambilia mara nyingi zaidi huku mashuti matatu ya Ronaldo yakigonga mwamba lakini hawakuweza kuondoka na pointi hata moja wakiwa ugeni.
Wakati Barcelona ikiwa nyumbani, pamoja na watu kuwa wachache uwanjani Cam Nou ikapiga mabao matatu na Lionel Messi na Neymar wakitupia bao mojamoja.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic