March 27, 2014





Lionel Messi jana mevaa kiatu kipya alichotengezewa na kampuni ya Adidas halafu akapiga bao.

Barcelona ilikuwa inacheza na Celta Vigo katika mechi ya la Liga na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0.

Kiatu hicho kina 370 ikiwa ikiwa ni idadi ya mabao aliyofunga Messi katika La Liga na kumpiku mkongwe Paulino Alcántara aliyekuwa anaongoza kwa kufunga 369.
Lakini ikiwa ndiyo siku ya kwanza tu amekivaa kiatu hicho, Messi akatupia bao la 371.
Upande wa pili wa kiatu hicho kuna jina la mwanaye pekee, Thiago na siku yake ya kuzaliwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic