March 9, 2014


Wakati mwafaka kuamini mafunzo badala ya vipaji tu
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mashabiki wanaoaminika ni wa Chelsea waliandamana kiana kabla ya timu hiyo kuivaa Spurs na kuifumua kwa mabao 4-0 jijini London.


Mashabiki hao walikuwa wakimtaka mmiliki wa Chelsean Roman Abramovich kuachana na siasa za nchi yao ya Ukraine kwa kuwa amekuwa akimuunga mkono Rais Vladimir Putin wa Urusi.
Katika mabango hayo yalieleza kuwa Abramovich amekuwa akifanya kazi ya kuhifadhi mabilioni ya fedha za rais huyo wa Urusi, hivyo kumsisitiza aendelee na kuongeza nguvu Chelsea na si kumsaidia Putin kuandama Ukraine.
Ukraine na Urusi ziko katika mgogoro mkubwa baada ya Putin kuamuru majeshi yake yaingie nchi hiyo ya jirani.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic