March 7, 2014

OKWI, KIIZA WALIPOWASILI...PICHA: SHAFFIH DAUDA

Na Saleh Ally, Cairo
Mshambuliaji Emmanuel Okwi na mwenzake Hamisi Kiiza wametua leo alfajiri na kuungana na wenzao.

Okwi na Kiiza walikuwa nchini Zambia ambako Uganda ‘The Cranes’ ilikwenda kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya wenyeji na kupoteza kwa mabao 2-1.
Msemaji wa Yanga, Baraka Kizuguto aliwapokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa na moja kwa moja wakaungana na wenzao kambini kwao nje ya jijini hili.
Yanga iko jijini hapa kujiandaa na mechi dhidi ya Al Ahly ambayo iliilaza kwa bao 1-0 katika mechi ya kwanza jijini Dar.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic