Wakati wengi walikuwa na presha
ya ratiba ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Cristiano Ronaldo na beki
Pepe walikuwa wanaangalia mechi ya mpira wa kikapu.
Mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya
kati ya timu yao ya Real Madrid dhidi ya CSKA Moscow.
Ronaldo alikuwa na mpenzi wake,
mwanamitindo, Irina Shayk na Pepe alikuwa na mpenzi wake pia.
Kwa pamoja waliangalia mchezo
huo na baada ya hapo wakasindikizwa na askari waliokuwa uwanjani hapo kuelekea
kwenye maegesho ya magari na kurejea zao makwao.
0 COMMENTS:
Post a Comment