Ratiba ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya imetoka, Mabingwa wa
England, Manchester United wamepangiwa mabingwa wa Ulaya, Bayern Munich.
Mdomoni mwa Munich, Man United wanahisi wako matatizoni ila itabidi
wapambane.
Jirani zao Chelsea wamepangiwa PSG inayoongozwa na Zlatan Ibrahimovic.
Kazi nyingine ni Barcelona dhidi ya wapinzani Atltetico Madrid ambao
bado wana mechi nao katika La Liga.
Real Madrid, wamepewa nafasi ya kulipa kisasi, maana wanakutana na
Borusia Dortmund. Ingawa wanaonekana kupotea katika Bundesliga, lakini Ligi ya
Mabingwa Ulaya, ni uwanja mwingine.
0 COMMENTS:
Post a Comment