SHABIKI ANYOA JINA NA NAMBA YA DROGBA MGONGONI MWAKE SHABIKI HUYU WA GALATASARAY YA UTURUKI AMEONYESHA MAPENZI KWA MSHAMBULIAJI NYOTA WA TIMU HIYO, DIDIER DROGBA BAADA YA KUNYOA JINA NA NAMBA YAKE KAMA INAVYOONEKANA. SOKA BANA, FULL FUN EEH!
0 COMMENTS:
Post a Comment